LIGI YA MABINGWA ULAYA - MAN CITY YACHAPWA, MAN UNITED SARE, REAL MADRID NA PSG ZAPETA.
Hatua ya 5 ya mechi za makundi za ligi ya mabingwa barani Ulaya imemalizika Usiku huu kwa mechi nane kuchezwa katika viwanja tofauti.
Manchester City ikisafiri mpaka jiji la Turin nchini Italia ilikubali kichapo cha bao 1-0 toka kwa Mabingwa Wa Italia Juventus matokeo ambayo yanaifanya Juventus kuvuka hatua hii ya makundi kwani imefikisha pointi 11 ambazo zinaweza kugikiwa na Man City pekee katika kundi D.
Manchester United ikiwa nyumbani Old Trafford ililazimishwa sare ya bila kufungana na PSV Eindhovein katika mechi ambayo Wapenda Soka wengi wanaitaja kuwa ilikuwa mechi ambayo wenyeji walicheza ovyo na kushindwa kujihakikishia kupata nafasi ya kusonga mbele katika kundi B.
Majaliwa ya Man United sasa yatategemea mechi yake ya mwisho katika michuano hiyo ambapo itasafiri mpaka Ujerumani kuwavaa Wolsfburg .
Real Madrid wamepunguza machungu ya kuchapwa bao 4-0 na Barcelona katika mechi ya El Clasico kwa kuifunga Shaktar Donetsk bao 4-3.
HAYA NDIYO MATOKEO NA WAFUNGAJI WA MECHI ZOTE ZA JANA
KUNDI A
Malmo FF 0-3 Paris Saint-Germain
- Adrian Rabiot (3')
- Angel Di Maria (14', 68')
- Zlatan Ibrahimovic (50')
- Lucas Moura (90')
Shakhtar Donetsk 3-4 Real Madrid
- Ronaldo (18', 70')
- Luka Modric (50')
- Daniel Carvajal (52')
- Alex Teixera (78'p, 89')
- Dentinho (83')
KUNDI B
CSKA Moscow 0-2 VfL Wolfsburg
- Igor Ankinfeev (67')Og
- Andre Schuerrle (88')
Manchester United 0-0 PSV Eindhoven
KUNDI C
FC Astana 2-2 Benfica
- Patrick Twumasi (19')
-Marin Anicic (31')
- Raul Jimenez (40',73')
Atletico Madrid 2-0 Galatasaray
- Antoine Griezman (13',65')
KUNDI D
Borussia Monchengladbach 4-2 Sevilla FC
- Lars Stindi (29',83')
- Fabian Johnson (68')
- Vitolo (82')
- Ever Banega (90')P
Juventus 1-0 Manchester City
- Mario Mandzukic (18')
UJUMBE MAALUMU KUTOKA WAPENDA SOKA TANZANIA
... Tarehe 1 January kila mwaka ni siku maalumu ya Wapenda Soka (Wapenda Soka Day) ambapo tunaungana kusaidia watoto yatima kwa chochote kile Mungu alichotujalia kwa mwaka mzima na kuomba baraka zake kwa mwaka mpya.
Ungana nasi basi kuchangia chochote.
Maelezo zaidi na Mawasiliano
0715 127272 - C.E.O
0717 685055 - Katibu
0717 664685 - Mweka Hazina
.. SOKA LETU JAMII YETU

No comments