FIF PRO YATANGAZA KIKOSI CHA AWALI

Fif pro imetangaza Kikosi Bora cha Dunia cha Mwaka 2015, 2015 FIFA FIFPro World XI, cha Wachezaji 55 kitakachochujwa kufikia Wachezaji 11 hapo Januari 11 wakati wa kutoa Tuzo ya Mchezaji Bora Duniani, ijulikanayo kama Ballon D'Or.ni Wachezaji kumi tu kutoka katika ligi maarufu na inayopendwa Tanzania Epl, huku kiungo wa Arsenal Mesut Ozil akichwa katika orodha hiyo pamoja na perfomance nzuri aloonesha.


Tumekuandalia list yote ya wachezaji 55

Makipa (5)-  Gianluigi Buffon (Juventus), Iker Casillas (Porto), David de Gea (Manchester United), Keylor Navas Real Madrid), Manuel Neuer (Bayern Munich).


Mabeki (20)- David Alaba (Bayern Munich), Jordi Alba (Barcelona), Daniel Alves (Barcelona), Jerome Boateng (Bayern Munich), Daniel Carvajal (Real Madrid), Giorgio Chiellini (Juventus), David Luiz (PSG), Diego Godin (Atletico Madrid), Mats Hummels (Borussia Dortmund), Branislav Ivanovic (Chelsea), Vincent Kompany (Manchester City), Philipp Lahm (Bayern Munich), Marcelo (Real Madrid), Javier Mascherano (Barcelona), Pepe (Real Madrid), Gerard Pique (Barcelona), Sergio Ramos (Real Madrid), Thiago Silva (PSG), John Terry (Chelsea), Raphael Varane (Real Madrid). 


Viungo (15) - Thiago (Bayern Munich), Xabi Alonso (Bayern Munich), Sergio Busquets (Barcelona), Eden Hazard (Chelsea), Andres Iniesta (Barcelona), Toni Kroos (Real Madrid ), Luka Modric (Real Madrid), Andrea Pirlo (New York City), Paul Pogba (Juventus), Ivan Rakitic (Barcelona), James Rodriguez (Real Madrid), David Silva (Manchester City), Yaya Toure (Manchester City), Marco Verratti (PSG), Arturo Vidal (Bayern Munich).


Washambuliaji (15) - Sergio Aguero (Manchester City), Gareth Bale (Real Madrid), Karim Benzema (Real Madrid), Douglas Costa (Bayern Munich), Zlatan Ibrahimovic (PSG), Robert Lewandowski (Bayern Munich), Lionel Messi (Barcelona), Thomas Muller (Bayern Munich), Neymar (Barcelona), Arjen Robben (Bayern Munich), Cristiano Ronaldo Real Madrid), Wayne Rooney (Manchester United), Alexis Sanchez (Arsenal), Luis Suarez (Barcelona), Carlos Tevez (Boca Juniors)

No comments

Powered by Blogger.