DR. TWAHA MWENYEKITI MPYA COASTAL UNION


Uchaguzi uliofanyika jana tarehe 5/7/2015 matokeo yalikuwa kama ifuatavyo:

1.MWENYEKITI:
 Jumla ya wapiga kura 207.
Kura zilizopigwa  205.
Kura zilizo haribika  2.

Ahmed Ally Twaha -192
Steven Mnguto  11.

2.MAKAMU MWENYEKITI:
Jumla ya wapiga kura 207.
Kura zilizopigwa 203.
kura zilizoharibika- 4

Salim Amir-
Kura za NDIYO-193
Kura za HAPANA- 9.

3.WAJUMBE KAMATI YA UTENDAJI.
Waliochaguliwa na kura zao:

1.Hassan Omary Bwana-190.
2.Hassan Ramadhan Muhsin-190.
3.Abdallah ZubeiryAlly-188.
4.Hussein Ally Mwinyi Hamis-185
5.Aggrey Ally Mbapu-179.
6.Mohamed Rajabu-179.
7.Omary Hassan Mwambashi -144.
8.Waziri Mohamed-31.
Kwa kuwa walikuwa wanatakiwa wajumbe saba tu kwa hiyo wajumbe walioshinda ni kuanzia  moja mpaka saba.

Kwa kawaida uchaguzi ulifanyika kwa utulivu ukiacha vurugu za hapa na palele wakati wa kuingia ukumbini.

No comments

Powered by Blogger.