TWIGA STARZ MIKONONI MWA NIGERIA NA IVORY COAST

Droo ya michuano ya All Africa games kwa wanawake imefanyika jana Alhamisi, Julai 9, 2015 katika Makao Makuu ya Caf Mjini Cairo Misri

Team ya Twiga straz ipo kundi A na ndio watafungua pazia la michuano hiyo inayotarajjiwa kuanza September 3-18 Mjini Congolese capital, Brazzaville
Kila la khery Twiga starz

No comments

Powered by Blogger.