KOCHA TAIFA STARS KUSUKA AU KUNYOA
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal
Emil Malinzi amesema kuwa hatma ya kibarua cha Kocha Mkuu wa timu ya taifa,
Mart Nooij kitajulikana ifikapo Julai 4 mwaka huu baada ya mchezo wa marudiano
kati ya Taifa Stars na Uganda utakaofąnyika jijini Kampala.
Akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Dar es Salaam jana, Malinzi amesema kwamba Kamati ya Utendaji ilifikia maamuzi hayo katika kikao chake kilichofanyika hivi karibuni.
Akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Dar es Salaam jana, Malinzi amesema kwamba Kamati ya Utendaji ilifikia maamuzi hayo katika kikao chake kilichofanyika hivi karibuni.
Kocha huyo alipewa mechi tatu ambapo ya kwanza ni ile
dhidi ya Misri ambapo Tanzania Imefungwa mechi hiyo. Egypt 3-0 Tanzania
Ameongeza kuwa TFF haijabadili msimamo wake juu ya
mechi ilizompa mholanz huyo aliechukua mikoba kutoka kwa Kim Poulsen.
Mwenendo mbaya wa mholanzi huyo unazidi kumuweka njia
panda katika ajira yake ya kuendelea kuifundisha Taifa starz.
Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Taifa starz.
No comments