BAYERN MUNICH WAKABIDHIWA UBINGWA KWA USHINDI
Mabingwa wa Ujerumani FC Bayern Munich wamekabidhiwa ubingwa wao wa 25 wa Bundesliga kwa ushindi wa bao 2-0 walioupata dhidi ya Mainz 05 bao 2-0.
Magoli mawili ya Roberto Lewandowski na Bastan Schweinsteiger yalitosha kuwapa raha mashabiki wa Bayern Munich timu ambayo imefikisha pointi 79 baada ya kushinda mechi 25.
![]() |
Mashabiki wa Bayern wakibeba mabango yenye namba 25 kusherekea ubingwa wa 25 |
![]() |
Pep Guadiola akimwagiwa bia kama ishara ya kusherekea ubingwa |
No comments