MATOKEO NA WAFUNGAJI MECHI ZA JANA - ENGLAND


Raundi ya 23 ya mechi za ligi kuu nchini England ilianza jana kwa timu 16 kucheza katika mechi 8 huku yakishuhudiwa jumla ya magoli 21 yakifungwa katika mechi hizo.


Ratiba inaonyesha kuwa mechi mbili zitapigwa leo kukamilisha hatua hii na mpaka hivi sasa Chelsea ambao walitoka sare jana wanaendelea kuongoza ligi hiyo wakiwa na pointi 53 wakifatiwa na mabingwa Watetezi Manchester City wenye pointi 48 wakati majirani Zao Manchester United wanakamata nafasi ya 3 wakiwa na pointi 43.

Leicester City wanakamata mkia wa ligi hiyo wakiwa na pointi 17 katika nafasi ya 20 huku QPR na Hull City nao wakiwa katika mstari wa  kushuka daraja na pointi zao 19.

Haya ndiyo matokeo ya jana na wafungaji wa magoli katika mechi hizo:-

Hull City.  0-3. Newcastle United

- Remy Cabella (40')
- Sammy Ameobi (50')
- Yoan Gouffran (78')

Crystal Palace 0-1.  Everton

- Romelu Lukaku (2')

Liverpool. 2-0. West Ham United

- Raheem Sterling (51')
- Daniel Sturadge (80')

Man United.  3-1. Leicester City

- Robin Van Perse (27')
- Radamel Falcao (32')
- Wes Morgan (44') OG
- Marcin Wasilewski (80')

Stoke City  3-1. QPR

- Jonathan Walters  (21') (34') (90')
- Niko Kranjar (36')

Sunderland. 2-0. Burnley

- Connor Wickham (20')
- Jermain Defoe (34')

West Brom. 0-3 Tottenham

- Christian Eriksen (7')
- Harry Kane (15') (64')

Chelsea.  1-1. Man City

- Loic Remy (42')
- David Silva (45')

++++++++++++++++++++++++++++

RATIBA YA MECHI ZA LEO 

16:30. Arsenal vs Aston Villa
19:00. Southampton vs Swansea
MSIMAMO WA LIGI

~ Imeandaliwa na Edo Daniel Chibo (EdoDaniel23@gmail.com) 0715 127272(whatsapp)


No comments

Powered by Blogger.