LIGI YA MABINGWA ULAYA - MAGOLI 40 USIKU WA JANA SI MCHEZO
Jumla ya magoli 40 yalifungwa katika ligi ya mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne wastani wa goli 5 kila mechi ikiwa ni idadi kubwa ya magoli kufungwa katika usiku mmoja.
Mabingwa wa England Manchester City wao waliendelea kuandamwa na zimwivla kutofanya vizuri katika michuano hiyo licha ya kua na kikosi kilichosheheni nyota kadhaa wao wakisafiri mpaka Russia walijikuta wakilazimishwa sare ya bao 2-2 na CSKA Moscow licha ya kutangulia kufunga bao 2-0 mpaka mapumziko.
Bayern Munich wakisafiri mpaka mji kuu wa Italia Roma waliiangamiza AS Roma mabao 7-1 ushindi ulioshangaza wengi kwani Roma walionekana kama timu ya kuogopwa safari hii lakini wakashindwa kabisa kufurukuta kwa Bayern Munich.
MATOKEO NA WAFUNGAJI KATIKA MECHI ZOTE ZA JANA
● CSKA Moscow 2-2 Manchester City
Sergio Agüero (29')James Milner (38')
Seydou Doumbia (64')
Bebars Natcho (86') (Pen)
● AS Roma 1-7 Bayern Munich
Arjen Robben (8')Mario Götze (23')
Robert Lewandowski (25')
Arjen Robben (30')
Thomas Müller (36') (Pen)
Gervinho (66')
Franck Ribéry (78')
Xherdan Shaqiri (80')
● Apoel Nicosia 0-1 Paris Saint-Germain
Edinson Cavani (87')● Barcelona 3-1 Ajax Amsterdam
Neymar (7')Lionel Messi (24')
Anwar El-Ghazi (88')
Sandro Ramírez (90')
● Chelsea 6-0 NK Maribor
Loïc Rémy (13')Didier Drogba (23') (Pen)
John Terry (31')
Mitja Viler (54') (Own Goal)
Eden Hazard (77') (Pen)
Eden Hazard (90')
● Schalke 04 4-3 Sporting Lisbon
Nani (16')Chinedu Obasi (34')
Klaas Jan Huntelaar (50')
Benedikt Höwedes (60')
Adrien Silva (64') (Pen)
Adrien Silva (78')
● BATE Borisov 0-7 Shakhtar Donetsk
Alex Teixeira (11')Luiz Adriano (28') (Pen)
Douglas Costa (35')
Luiz Adriano (37')
Luiz Adriano (40')
Luiz Adriano (44')
Luiz Adriano (82') (Pen)
●FC Porto 2-1 Athletic Bilbao
Héctor Herrera (45')Guillermo (58')
Ricardo Quaresma (75')
××××××××××××××××××××××××××××××××××××××××××××××××××××××××××××××
No comments