ARSENAL YAUA ULAYA : SUPER DANNY WELBECK SHUJAA
Magoli matatu (Hat trick ) yaliyofungwa na mshambuliaji Danny Welbeck yalitosha kurudisha matumaini kwa kikosi cha Mzee Arsene Wenger katika ligi ya Mabingwa barani Ulaya kundi D.
Anakuwa mchezaji wa 3 wa Arsenal kupiga hatrick katika ligi ya mabingwa ulaya baada ya Thiery Henry na Bendtner.
Wenger ambaye jana alikua akiiazimisha miaka 18 ya utawala wake Arsenal aliliwazwa na paundi milion 16 ambazo klabu yake ilitoa kumnunua Danny Welbeck toka Manchester United kwani aliweza kufunga magoli yake dakika za 22, 30, 52 huku goli lingine likifungwa na Alexis Sanchez dakika ya 41.
Mabingwa watetezi Real Madrid wakiwa ugenini waliibuka na ushindi wa bao 2-1 magoli ya Cristiano Ronaldo na Karim Benzema katika mechi ambayo Ronaldo alikosa penati.
MATOKEO YOTE KWA UJUMLA
GROUP A
Malmo 2-0 Olympiakos
{ Rosenberg 42',82'}
Atletico Madrid 1-0 Juventus
{ Arda Turan 74'}
GROUP B
Ludogorets 1-2 Real Madrid
{Ronaldo 25',Benzema 77'}
(Marcelino 7'}
FC Basel 1-0 Liverpool
{Streller 52'}
GROUP C
Zenit 0-0 Monaco
Bayer Levrekusen 3-1 Benfica
{Kiessling 25', Son 34', Salvio 61',Calhanoglu 64'}
GROUP D
Anderletch 0-3 Dortmund
{Immobile 3', Ramos 69', 79'}
Arsenal 4-1 Galatasaray
{Welbeck 22',30', 52, Sanchez 41}
(Yilmaz 63)
No comments