KARIBU KWENYE BLOG YA Wapenda SOKA (Kandanda)

 
Kama ambavyo tuliazimia kwamba Kundi la Wapenda SOKA (Kandanda) liwe na Blog yake, Admin Panel sambamba na Wadau wake tumejaribu kuianzisha Blog hii japo si Rasmi.
Blog itaitwa Wapwenda SOKA Kandanda, ila kabla haijawa Officially Launched tungependa kupata Mawazo na Maoni yenu juu ya Muonekano wake kuanzia Rangi zake, Logo inayotumika, Designing na vitu vingine.
Mawazo yenu ni muhimu sana katika ufanikishwaji ya Blog hii, kipi kitoke au kuongezwa, pia kwa yeyote mwenye uwezo wa kufanya Desgning tunamkaribisha kwenye Panel ili tuweze ku-share Idea na Ujuzi wake.
Ni vyema kila mmoja wetu aitembelee kisha aje na mapendekezo yake kabla hatujaipeleka kwa Wadau wengine nje ya kundi (Kwa maana ya kuitangaza kwa Jamii yote)
 
Ingia kwenye Blog kwa kubofya Link ni hii http://www.wapendasoka.blogspot.com/
NB: Muonekano wa sasa ni wa majaribio tu....!

2 comments:

  1. Nilikutegemea ugeondoka mala tu uliposhinda UCL kwa mala ya kwanza katika historia ya Chelsea na mpira pia kwa ujuma kama walivyofanya kina Anelka na Drogba....angalia sasa hata hawakumbuki kama ulikua hero in a history of soccer...bt leo unaodoka kama mbwa vile...D

    ReplyDelete
  2. Hawajamtendea haki walipaswa kumfukuza tangu mwanzo na angepata timu nzuri tu
    Ila kwa sasa najua QPR wanahitaji kocha so wanaweza kumpa nafasi

    ReplyDelete

Powered by Blogger.