UNITED YALALA NYUMBANI YACHAPWA 2-1 NA CITY

Manchester City walipata goli lake la kwanza kupitia
David Silva dakika ya 43 kabla ya Marcus Rashford kusawazisha dakika ya 45 na
Nicolás Otamendi kupachika la pili na la ushindi dakika ya 54.
City ipo kileleni na pointi 46 ikifuatiwa na United yenye alama 35.
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameisifu timu yake
kwa kucheza vizuri na kufata maelezo yake
No comments