MOYES AMRITHI BILIC WEST HAM
Klabu ya West Ham imemtangaza David Moyes kuwa meneja mpya baada ya kusaini mkataba wa miezi sita hii leo.
Moyes alishuka daraja na timu ya Sunderland msimu uliopita amechukua mikoba ya Slaven Bilic aliyetimuliwa jana kufuatia kuifikisha West Ham nafasi ya 18 kwenye msimamo.
Moyes, ambaye pia amewahi kufundisha timu za Preston, Everton, Manchester United na Sociedad anakuwa kocha wa 16 kuingoza klabu hiyo.
"Natazama mbele jinsi ya kukutana na mashabiki kuwa uwanjani pamoja na hitaji kuwa nyuma yao mimi na timu yangu.
"Tunahitaji kila mtu kuwa pamoja nasi. Ni kibarua kizito lakini tukiwa pamoja nina uhakika tutapata matokeo kuanzia sasa mpaka mwisho wa msimu huu," alisema Moyes.

No comments